Taarifa kwa Umma juu ya Kurejea kwa Muhula wa Pili wa masomo kwa mwaka 2019/2020. Bofya kwenye kiunganishi hapo chini kupata taarifa kamili.
Taarifa kwa Umma juu ya Kurejea kwa Muhula wa Pili wa masomo kwa mwaka 2019/2020. Bofya kwenye kiunganishi hapo chini kupata taarifa kamili.
Kikao cha Baraza la Wanataaluma (SENATE) la Chuo Kikuu cha Iringa kilichoketi tarehe 03-18/12/2019 kwa pamoja waliazimia kuwapandisha vyeo baadhi ya Wahadhiri chuoni hapo. Click kwenye linki hapo chini kupata taarifa maalumu ya tukio hilo.
Please click on the following link to download a PDF document with the list of approved graduating students FINAL DRAFT for all respective programmes 2018/2019
Waziri wa Sayansi, Tekinologia na Mafunzo ya Ufundi - Prof. Joyce Ndalichako apongeza juhudi zinazofanywa na Chuo Kikuu cha Iringa katika kutoa elimu kwa nadharia na vitendo.
Pongezi hizo alizitoa leo tarehe 01/06/2019 chuoni hapa alipokuwa mgeni rasmi katika sherehe za maadhimisho ya siku ya kitivo cha sayansi na Elimu.
Katika sherehe hizo waziri alifanikiwa kutembelea na kujionea kazi mbalimbali zinazofanywa na wahadhiri pamoja na wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Iringa na kushuhudia jinsi ambavyo Elimu inayotolewa Chuoni hapa inavyomjengea uwezo mkubwa mwanafunzi wa kuweza kujiajiri bila kutegemea sana kuajiriwa kwani wanafunzi hawa hawasomi nadharia tu bali pia wanafanya kwa vitendo yale wanayofundishwa.
Mfano mzuri ni pale waziri alipotembelea kiota hub ambapo wanafunzi wetu washahada ya masoko na ujasiriamali kwa vitendo (Bachelor of Applied Marketing and Entrepreneurship-BAM
Katika kujibu kuhusu changamoto mbalimbali zinazowakabili wanafunzi hao mheshimiwa waziri amekiri kuzipokea changamoto hizo na ameahidi kuzifanyia kazi kwa kushirikiana na uongozi wa chuo pamoja na wizara zinazohusika.
Prof.Ndalichako ametoa Rai kwa wanafunzi wote kusoma kwa bidii na kujiepusha na makundi yasiyofaa,huku akiwakumbusha wanafunzi kuhusu janga la Ukimwi.
University of Iringa, P.O Box 200, Iringa, Tanzania
Tel: +255 (0) 26 2720900
Fax: +255 (0) 26 2720904
E-Mail: uoi@uoi.ac.tz